Aliyepanga anatamani kujenga na aliyejenga anatamani kuuza,Mungu kakubariki umejenga sehemu ya kujisitiri na kujihifadhi unatamani kuuza?.Ebu kaa chini utafakari vizuri,Nyumba ni Nyumba ata Kama ni chumba kimoja,viwili ama Saba. Nyumba iwe ya nyasi Iwe ya tope,tofari,miti,mbao,mawe, block au bati hiyo ni zawadi.Tafakari kwa makini majibu sahihi nina hakika unayo.wahenga walisema "Fikiri kabla ya kutenda." na "maamuzi yako ndiyo matokeo yako ya kesho"-Tafakari.Mimi nauza nyumba kabisa, nataka nikapange.
Haya maisha yanavuruga ubongo
😀 😛 Njoo tujumuike mkuu.. mi nina mwezi sasa niko porini. Uraiani hali tete.Imhotep said:Kwa kweli hali inazidi kuwa mbaya huu ni muda wa kukimbilia porini
Selou kipitia Rufiji huko nimepanga kuchukua mbegu za vyakula zikiwemo Ndizi ili nikajichimbie kwa miaka kadhàaPori gan ili tusepe wote
Uko pori gani mkuu😀 😛 Njoo tujumuike mkuu.. mi nina mwezi sasa niko porini. Uraiani hali tete.
Reli ya TAZARA ushawah kupita? Kuna kituo kinaitw "Kidunda" mi ndo nipo ndani ndani huku Selous tupo watatu tumepga kambi. Kuna jamaa ametufadhili hapa tupo full na mahitaji.. nina kama mwezi sijaliona duka wala raia.Imhotep said:Uko pori gani mkuu
Hebu niambie nije na vitu gani vya Survival maji kama Mto si uko karibu na samaki wanapatikana humohumoReli ya TAZARA ushawah kupita? Kuna kituo kinaitw "Kidunda" mi ndo nipo ndani ndani huku Selous tupo watatu tumepga kambi. Kuna jamaa ametufadhili hapa tupo full na mahitaji.. nina kama mwezi sijaliona duka wala raia.
Hapa nilipo nasikia fisi kwa mbaali.. dah, haya maisha haya..!?
Mtaitwa wakimbizi huko mwisho mfanywe vibaya. Sikushauri uendeHebu niambie nije na vitu gani vya Survival maji kama Mto si uko karibu na samaki wanapatikana humohumo
Kwa hali hii hakuna hope bora tukafie huko maporiniMtaitwa wakimbizi huko mwisho mfanywe vibaya. Sikushauri uende