S.L.P 488400 DSM 24/03/2013.Ndg,YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni wa karibu na ni Mtanzania halisi.NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE YA PASAKA,Nina uzoefu wa kula vizuri UBWABWA pasipo kudondosha hata punje kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Nina uwezo mkubwa sana ktk hili na nina HOTP0T maalum ya kuchukua vyakula vitakavyo bakia, sina aleji na chakula chochote. Wengi niliokula kwao wamenifurahia.Nimetuma maombi mapema ili kukupunguzia gharama ya kualika wengine.Natumaini utaniarifu mapema nije saa ngapi?