Jamani 'nyonyo'

una maana gani mkuu sosoliso, atajaribu hiyo? Kumbuka hapo ni outdoor hivyo mpe angalizo

ha ha ha omujubi..Vijana Jazz waliimba..

"siri ya ndani ni ya ndani isitoke nje isije ikawekwa peupe..
raha nikupayo hata jirani hapaswi kujua hakawii kujiua..
mahaba nikupayo hakuna mwenye nayo..
hakika wewe ni wangu hawakuwezi machangu"..

dedication kwako Paloma..
 
Last edited by a moderator:
kilichonisababisha nibinue laptop si miti bali ni huyo mwanamama
 
Huyu mama ni mbunifu sana maana anafanya mambo mawili kwa wakati moja anafanya mazoezi na hapohapo anamnyonyesha mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…