Jamani ntaipataje user name na password yangu

Jamani ntaipataje user name na password yangu

maharco

Senior Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
116
Reaction score
35
Msaada nacte mpaka leo hawajatuma user name na password yangu mwenye mawasiliano ya nacte anipe namba
 
Mwenyewe nkwafanyia application madogo zangu kama watatu hv ni mmoja tuu nilipata username na password wametuma kweny email, zingne zimekaa ni siku ya sita hamna kitu kila mara nacheck email kwenye span massage hakuna kitu. IT wa NACTE ni jipu Kwa kweli!
 
Unauhakika email umeiandika vyema maana some time watu wanachemka halafu wanasema ni IT
 
Back
Top Bottom