My bf alinipia simu wakati nipo kazini nilikuwa nimetingwa na kazi nikashindwa kujibu simu yake cha ajabu nilipotoka job nampigia apoke u know what anasema nisimsumbue mpaka anitafute mwenyewe nimejaribu kumplz anakumuambia nilitingwa na kazi amegoma kunielewa ameniambia atanitafuta kwa wakati wake plz nisaidieni
Sasa Unahangaika Nini Si Umsubirie! Akigoma Humu Kuna Waume Kibao Kama Asprin Watakurudisha Njia Kuu
My bf alinipia simu wakati nipo kazini nilikuwa nimetingwa na kazi nikashindwa kujibu simu yake cha ajabu nilipotoka job nampigia apoke u know what anasema nisimsumbue mpaka anitafute mwenyewe nimejaribu kumplz anakumuambia nilitingwa na kazi amegoma kunielewa ameniambia atanitafuta kwa wakati wake plz nisaidieni
My bf alinipia simu wakati nipo kazini nilikuwa nimetingwa na kazi nikashindwa kujibu simu yake cha ajabu nilipotoka job nampigia apoke u know what anasema nisimsumbue mpaka anitafute mwenyewe nimejaribu kumplz anakumuambia nilitingwa na kazi amegoma kunielewa ameniambia atanitafuta kwa wakati wake plz nisaidieni
sasa hapo nin tatizo? mbona hali ya kawaida kabisa