Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Ninayo website yangu. Nilifungua email account info@kaalamoto.com kwenye hii hii website kule kwenye webmail.
Nilizoea kuweka email address yangu na password kisha naingia ndani na nahudumia barua zangu.
Na kwa kuwa nalikuwa natumia hii mozila ambayo ilikuwa imetunza password yangu sikuwa na shaka kuwa iko siku nitaisahau.
Sasa nilipo upgrade Mozila kwenda version 4 ilifuta cookies na sasa natakiwa ni login lakini naona kila nikiweka password ninayokumbuka inakataa. Inaelekea nimesahau password.
Shida ni kwamba sioni mahali pa kunisaidia ku reset password. Je kuna njia nyingine naweza kuitumia kupata password yangu au ku reset hiyo password.
Mwenye maujuzi anisaidie maana hapa ni kisiwa cha technology.
Asanteni.
© cPanel, Inc. 2011

Login | |
Password | |
© cPanel, Inc. 2011