Jamani nisaidieni Dell optiplex gx 320 Inanisumbua .

Jamani nisaidieni Dell optiplex gx 320 Inanisumbua .

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
1.Inawaka taa ya njano tu.

2. Ikikaa masaa mengi inawaka lakini feni inayoelekea ya
Heatsink inazunguka kwa spidi kali hatimaye inazima.

3. Ikikaa siku siku nzima wakati mwingine huwa inakubali kuwaka lakini
haichukui muda mrefu kwani feni ikizunguka kwa spidi kali tu nayo
inazima baada ya hapo ni Taa ya njano tu badala ya ile ya kijani
ndiyo inayowaka.

Nisaidieni waungwana.
 
Back
Top Bottom