uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
1.Sometimes wanawake tunasababisha cos kujisahau na kujiona wewe ndo wewe 2.nyingne wanaume wanakuwa busy kutafta pesa wakidhan pesa pekee ndo mwanamke anataka anarudi kachoka mbayaaa kumbe some we need their time though little their attention. And etc
3.Kutojua kujicontrol cos kutaman hakuishi hata kama umeoa/umeolewa ila ni kujicontrol tu na kumheshim mwenzio ulomchagua kati ya wengi maishani.ni hayo tu
3.Kutojua kujicontrol cos kutaman hakuishi hata kama umeoa/umeolewa ila ni kujicontrol tu na kumheshim mwenzio ulomchagua kati ya wengi maishani.ni hayo tu