Jamani nina shida

Jamani nina shida

wida

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
247
Reaction score
40
Kuna mdada anakaribia mwezi wa tatu ajaona siku zake kaenda kucheki ujauzito hana yani matatizo tumbo lina muuma chini ya mbavu za kushoto.

Anahisi kukojoa mara kwa mara,pia amekuwa mnene.
 
hapa utalaghaiwa tu na wengine kuishia kuomba mzigo ili wahakikishe.............peleka hospitali huyo for further checkup
 
Wanawake tuna mambo meng sana mwambie asichelewe hospital asije akapata tatizo kubwa kushinda hilo
 
labda ana ectopic pregnance, sina hakika naskia ikifikisha miezi mitatu mhusika anaweza kufariki mwambie akapge ultra sound
 
Back
Top Bottom