Nyuki baby
Member
- Feb 24, 2012
- 85
- 8
5years nimekuwa teja wa hii ki2 iitwayo punyeto a.k.a puchu,kupiga mawe n.k na kila nilipokuwa najaribu kuaacha nilikuwa nashidwa lkn day1 baada ya kupiga nilijickia vibaya na nikawaza kweli hii ki2 imeshaingia akilini mwangu! Nikasema 'NO' nikapiga magoti nakumuomba mungu aniepushe na hili janga! Nikawa kila ikinijia hali ya kutaka kufanya nikawa namuomba god aniepushe! Ss nina miezi4 sijagusa hii ki2! je? Wana JF hii ni dalili ya god kanickia ombi langu au ni vp?