Jamani nimecheka kidogo nizirai.

Kwenu mpo wengi mpaka sebuleni mmejenga roundabout....unadamu chungu mpaka mbu akikung'ata anasukutua
 
Kwenu walokole hadi chakula mnapikia msalaba
 
Roho yako inarukaruka kama yameingia mahindi ya bisi.
 
jogoo wenu ni mvivu akiwika wa jirani na yeye anaitikia na mimi hivyohivyo
 
Kwenu mpo wengi mpaka mkipika Chapati mnazitoa Photocopy kwanza ndio zitoshe...!
 
Mweusi mpaka kwny giza unatoa kivuli
 
Umekondeana mpaka ulipovunjika ulipigwa picha kwa camera badala ya x-ray
 
We ni mshamba hadi ulikua unataka kupanda mountain dew..!
 
Wewe ni mzembe hadi mafundisho ya kanisani unayaendea tuition
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…