na kwa nini utoe siri za washirika wako? Huoni kama wewe ni mnafki na umeokoka kinafki kwa kuwa huenda mlizurumiana ndo ukaamua kutoa siri zao? Ebu tuambie ni siri zipi hizo? Nakudediketia wimbo ule wa wagosi wa kaya kibaka umeokokaany way its long story.. natumia simu ndogo siwezi kuandika vitu vingi... lakini ni visasi vya muda mrefu vya watu niliotoa siri zao..
Sisi mwaka 2014 ulikuwa poa sana. Tunahaja ya kuokoka?Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yanguj.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
JE, UNATAKA KUOKOKA SASA?
Tunasoma haya katika LUKA 1:77, Uwajulishe watu wake wokovu, katika kusamehewa dhambi zao. Hii ina maana kwamba ukiisha kutubu dhambi zako leo utasamehewa kwa hakika, na hivyo kupata wokovu mara moja. Je, kweli utasamehewa? Jibu ni Ndiyo! Yesu mwenyewe anasema katika YOHANA 6:37, .Wala yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe. Hivyo kwa dhahiri, leo hii, dakika hii hii, utasamehewa na kupata wokovu. Je, uko tayari kuokoka sasa na kuhesabiwa miongoni mwa wale watakaoingia mbinguni na kuishi na Mungu milele, hata wakiiaga dunia sasa hivi? Ukiwa tayari kuifuatisha sala ifuatayo ya toba, mara tu baada ya sala hii, nitakuombea na kwa ghafla utawezeshwa kushinda dhambi.
Je, uko tayari kuifuatisha sala hii sasa?
Najua uko tayari. Basi sema maneno haya,
Mungu Baba, natubu dhambi zangu zote kwa kumaanisha kuziacha. Naomba unisamehe na kuniosha dhambi zangu kwa damu ya Yesu iliyomwagika msalabani. Niwezeshe kushinda dhambi kuanzia sasa. Liandike sasa jina langu katika kitabu cha uzima mbinguni. Asante kwa kuniokoa, katika Jina la Yesu, Amen.
Sasa ninaomba kwa ajili yako, Mungu Baba msamehe kiumbe wako huyu dhambi zake zote, na mpe uwezo wa kushinda dhambi kuanzia sasa na kumuokoa. Mbariki kwa baraka zote katika Jina la Yesu, Amen. Tayari umeokoka. Ili uzidi kuukulia wokovu, hakikisha unahudhuria mafundisho katika Kanisa linalohubiri wokovu.
MUNGU AKUBARIKI!!!
Karibu sana kwa YesuMwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
naomba kuuliza swali fupi ndugu. mtu akifa sasa hiv anakwenda wapi?
stress zimeisha ndugu tangu jana... maana hakuna hukumu ya dhambi kwa hao waaminio karibu na wewe.
Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
You have made a very wise decision.
Kuchagua njia ya kwenda mbinguni kwenye uzima wa milele, na kuepuka kwenda jehanum kwenye lile ziwa la moto.
Congratulations to you.
siku moja niliwazuga masela wangu kilingeni kuwa nimeacha pombe na kuagiza coca-cola...aisee walimaindi na kuja mbogo hao...nalinganisha reaction yao na comments za watu humu...
Kwa Yesu kuna raha! Mimi niliokoka toka mwaka1979, tangu hapo mpaka leo nimeshuhudia wema wa Mungu nyakati zote. Mwisho wa siku atanifikisha mbinguni.
Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.