Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 997
- 2,320
Umefanya la maana mkuu! Kumpa Yesu maisha akusimamie ni jambo la msingi kuliko mambo mengine yote. BWANA YESU ASIFIWE....
badilisha na hiyo ID yako
Hakuna kitu kama hicho ndugu yangu,huko ni kujidanganya na kuwadanganya watu.Huwezi kuwa duniani ukadai umeokoka, suburi siku ya hukumu ndio utajuwa kama umeokoka au umeangamia.nitafanya ikibidi
Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
Umefanya la maana mkuu! Kumpa Yesu maisha akusimamie ni jambo la msingi kuliko mambo mengine yote. BWANA YESU ASIFIWE....
kaka hongera nitafute kupitia 0756684115 Nina zawadi yako...
Mungu akubariki sana, wise decision
kaka hongera nitafute kupitia 0756684115 Nina zawadi yako...
Mungu akubariki sana, wise decision
Ni Stress tu za maisha hizo , zitaisha
natamani kujua sababu za kutaka kuuwawa ujambazism au?