Jamani nifundisheni kutongoza

Hakunaga elimu ya kutongoza ile ni hali kila mwanaume anazaliwa nayo so piga kazi hakuna shule ya kutongoza mkuu
 
Ombi La Msingi Kabisa Hili ... Sasa Fuata Ushauri Huu Muhimu ..

Mlete Mwenzi ambaye Unataka Kumtongoza kwangu .. Consultation Free ... Nitakupa Msaada Wote Unaohitaji...

Ok Najua hutaweza ku m face .. !

Fanya hivi .. Nionyeshe Tu
... Au Fanya mpango upate namba ya simu ..usioongee naye chochote kwani utaharibu ... then nitumie number yake kwenye PM.

Right. ? Fanya Chap usichelewe.. !
 

Humu watu watakusaidia ila ukiuli ----- ndo hivo unakutana na mengi. Maneno ya mademu wabaya haitofautiani na wazuri. No principle
 
Msimamishe,,,msifie,,,then sepa zako,,,,ukionana nae fanya ivyo sepa tena,,,, endelea kufanya ivyo ili umuweke karibu mkishazoeana then kama umempenda mwambie unampenda,,,,[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta pesa kisha ukimuona unayempenda mpe pesa,akiuliza ya nini mwambie lunch,alafu muongeze tena, akiwa anashangaa shangaa muongeze tena pesa,yaani utawakimbia warembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimuona demu unayemtaka, mpe pesa.

We mpe pesa.
Nasema mpe pesa.
Mpe pesa aisee.
Nakwambia mpe pesa.

Atakuja kukwambia:

1. Anakupenda.
2. We ni handsome (hata km sio).
3. Hajawahi kukutana na mwanaume km ww (hata km ni uongo), na vitu vingine vinavyofanana na hivyo.
 
Kwa akili hizi utapotezs pesa nyingi sana kupata wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…