Naombeni mnifundishe kutongoza
Yaani nikimwita mwanamke akisimama nianze kumwambia nini? Na nianze kumwambieje ili anipe namba yake na pia akiniambia ana mtu,atuendani,sitaki mtu kwa sasa nimwambieje ili nimpate
nisaidieni jamani ili na mimi nipate mademu wazuri siyo kama ninaowapata sasa hivi wabaya.
Ukitaka mademu wakali wa Kishua walioenda shule nenda maeneo ya Masaki, Oysterbay, Mbezi Beach ukikutana nao waambie kwa kingereza '' I hate you so much" halafu subiri majibu.Naombeni mnifundishe kutongoza
Yaani nikimwita mwanamke akisimama nianze kumwambia nini? Na nianze kumwambieje ili anipe namba yake na pia akiniambia ana mtu,atuendani,sitaki mtu kwa sasa nimwambieje ili nimpate
nisaidieni jamani ili na mimi nipate mademu wazuri siyo kama ninaowapata sasa hivi wabaya.
Naombeni mnifundishe kutongoza
Yaani nikimwita mwanamke akisimama nianze kumwambia nini? Na nianze kumwambieje ili anipe namba yake na pia akiniambia ana mtu,atuendani,sitaki mtu kwa sasa nimwambieje ili nimpate
nisaidieni jamani ili na mimi nipate mademu wazuri siyo kama ninaowapata sasa hivi wabaya.
!
!
kutongoza ni sanaa kama sanaa nyingine za kuchonga vinyago, kuimba na kadhalika. Utongozaji hutegemea na malengo ya mtongozo huo kwa maana hiyo mtongozo wa one night stand ni tofauti na wa kutaka mahusiano ya muda mrefu. Ila kimsingi jitahidi kuwa msafi na uende na wakati, kuwa mpole ila mcheshi jifunze swaga mbalimbali.
wajua nilikuwa nahisi una tania kumbe kweli , lakini achana na mambo hayo ,usiwaze sana kwani yanakuja automatic tu ,hasa kama kuna true loveahsante kaka umenipa mwanga
ukimuona demu muite psssiii psssiii kama hasikii mfuate mvute alafu mwambie arooo wewe mimi nataka nikurenge sasa vp unarara au nikugaragaze mwenyewe... utakuja kutoa mrejesho jf!