Jamani nifanyaje? naombeni ushauri

Nina mke wangu wa ndoa nampenda sana, nimegundua ana mwanaume mwingine na hataki kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona sijampa akaamua kuondoka leo siku ya 3 hajarud nifanyaje naombeni ushauri.

ameamua kushusha window so nawewe weka anti virus, sikushaur umrudishe coz ameona hufai ila jamaa ndo kilakitu
 
hata kama ni mimi ningexepa tu aixeee.. ujakuwa mkubwa vixuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…