jamani ni mapema mno!!!

jamani ni mapema mno!!!

Wenzio wanalipia ada na mwisho wanaachwa fanya kulingana na uwezo wako.
 
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana xana, je wadau kwa dalili hizi ni wife Material au searching some money? ushauri plz !!
kwanza kabisa hakikisha unamjulisha kuwa tabia yake ya kuomba pesa/salio inakukera huwezi jua yuko na wewe kimaterialy hivyo take care pia huwezi ukakurupuka kama jengo liloshika moto eti mnataka muoane na mtu ambaye bado hata humjui vizuri kitabia chukua muda mchunguze vizuri inawezewekana anataka akutumie zaidi kiuchumi halafu akishakamilisha mahitaji yake anasepa watch out.
 
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana xana, je wadau kwa dalili hizi ni wife Material au searching some money? ushauri plz !!

mpe hela demu akupende acha kulia lia mtoto wa kiume!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom