jamani ni mapema mno!!!

jamani ni mapema mno!!!

MAN PC

Senior Member
Joined
May 1, 2013
Posts
108
Reaction score
18
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana xana, je wadau kwa dalili hizi ni wife Material au searching some money? ushauri plz !!
 
What do you mean hujawahi ku-date nae na mmesha panga kuoana?
Did you mean hujawahi kufaanya nae mapenzi, au hujawahi kudate?
Na umepangaje kumuoa msichana ambae mnadate only a month now?
Umesha mwambia tabia yake ya kuomba salio inakukera uone reaction?
 
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani

is it love in a first sight au ni butterflies tu?
Mwezi mmoja tu tayari mna mipango ya kuoana? Kama ndio hivyo basi endelea kumuhudumia mkeo mtarajiwa na ndio unakaribishwa kuwa mwanaume badala ya mtoto wa kiume...
 
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana xana, je wadau kwa dalili hizi ni wife Material au searching some money? ushauri plz !!

Hili limekuwa janga la kitaifa. Inabidi liundiwe kamati.
 
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana xana, je wadau kwa dalili hizi ni wife Material au searching some money? ushauri plz !!

kama anasoma ifm au cbe wewe msaidie tu kama ombaomba usitegemee returns i get to know them utakuja na uzi wakuomba ushauri umfanyeje demu wako..
 
it z bt kufikia mwakani ntakua muda wa kutosha kureliase tabia yake
 
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana xana, je wadau kwa dalili hizi ni wife Material au searching some money? ushauri plz !!

it z bt kufikia mwakani ntakua muda wa kutosha kureliase tabia yake
Naomba unijibu haya maswali yafuatayo kisha utafuata ushauri: Mlionana wapi, mipango ya kuoana ilianzaje, jee ninani anamfadhili katika masomo yake???
 
wakuu swali ni kwamba why does she askng some money in eary stage? nami mschana anaeombaomba pesa cmpendi maishani mwangu, ndo maana nmeleta uzi kwenu mtoe ushauri b4 cjamwambia
 
mathcom alikuja likizo kwa dada ake, 2kawa as friend 2, then last month ndo akanitamkia mwenyewe anapenda xana 2we wachumba, later nkamjibu ndio, be sponsered by HESLB
 
Last edited by a moderator:

Sawa nimekupata, kama unampenda, umeridhika nae, basi wewe msaidie tu kwa kadiri unavyoweza huku ukimtaka awe mvimilivu na maisha ya shule wala asiishi maisha ya anasa huko shule.
Maisha ya UDOM ni magumu, na mazingira yamezungukwa na ngono, bora umpe support ndogo ndogo asije akashawishika na mazingira, bahati nzuri tu mwakani anamaliza..
 
mathcom thanx, kumsaiddia m2 just normal mind set yngu inaachogoma ni kuhonga, kama akichukulia concept ya kusaidiwa z beter.. bt pind 2ko marafki hakuwahi kuomba pesa soon after ndo ameanza hapo ndo kuna doubt
 
Last edited by a moderator:
Hawa madem wa UDOM wengi wao mbona ombaomba sana?? balaa gani hili la watoto wa Lowassa..any way kama amepitiliza kuomba nakushauri PIGA CHINI FASTA!! Kimbiaaaa mpaka uache kisigino njiani oohoooo!!!
 
Mimi ntaongezea hapo kiduchu ni sio mpaka aache kisigino tu bali ahakikishe miguu inalamba kisogo she isnt wyf material:A S thumbs_down:
 
Sawa nimekupata, kama unampenda, umeridhika nae, basi wewe msaidie tu kwa kadiri unavyoweza huku ukimtaka awe mvimilivu na maisha ya shule wala asiishi maisha ya anasa huko shule.
Maisha ya UDOM ni magumu, na mazingira yamezungukwa na ngono, bora umpe support ndogo ndogo asije akashawishika na mazingira, bahati nzuri tu mwakani anamaliza..

Kama ni wa kushawishika atashawishika, either umempa salio ama humpi!
Na suala la kumpa mpenzi wako matumizi eti ili asikusakiti hilo ondoa,mpe unachompa kwa kuwa umejisikia kumpa, sio lazima uwe na sababu kubwa sana ili umpe mpenzi wako kitu chochote anachoomba!
 
Ni kweli kumpatia matumizi hakukuweki salama asilimia zote, lakini kuna tofauti kubwa kwa anaepewa matumizi na asiepewa. yule unaempa akikusaliti hana utetezi lakini usiempa anaweza kuchukua hiyo kama loop hall, kibaya zaidi hutajua kama umesalitiwa au vipi..
 
Ayaa umetoa siri anasoma udom .ntakuwa namjua hana mkopo ndo mana anakusumbua jitahd mwaka co mrefu msaidie 2 bt ukubali yote anaweza akageuka kwa mwingne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom