Mkuu
kijakazi wa II pia kuwataja majina haina maana wapo JF, Lengo lilikuwa kufikkisha ujumbe kupiitia mwana JF yyt anayeweza kuwa anawafahamu.
Madhalani huyo alex mimi namfahamu vema sana, na baada ya kuona bandiko hilo niimpigia simu na kumsfiikishia ujumbe!
Sioni tatizo shida kubwa
kijakazi wa II ume-interpret vibaya bandiko mkuu,