Jamani natafuta kazi

Baba Erick

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
483
Reaction score
75
Jamani ndugu zangu habari za asubuhi ninaomba kwa yeyote mwenye kampuni au anayefahamu kampuni ya Logistics inayotoa ajira anisaidie. Nina experience ya miaka 4 kwenye industry.

Natafuta kazi ya logistics/ clearing and forwarding company.
 
Mi nimeiona bango moja hv pale mnaz mmoja co.inaitwa Mokha agent co.ltd..inahusika na hzo mambo za clearing & forwarding.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…