Jamani namfanyia application bwana mdogo sasa sehemu zingine zote flesh ila tukifika sehemu ya kuingiza details za fomu this naambiwa errors jamani naomba aliyefanikiwa kuapply na alikumbana na tatizo kama hilo alifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Details za fomu VINaona hapa hujaeleweka ulikuwa unaingiza fomu? Tufahamishw vema tukusaidie
Mi nime-register vizuri na kuweka details zote . Shida nikakutana na option mbili tu ambazo ni health na elimu.. ..hamna zaidi ya hivyo .... nikaamua kujaribu kuchagua elimu ... baada ya hapo nakutana na vyuo vya ualimu tu hakuna kitu kingine... naombeni ushauri maana hata nik-logout nikija login inataka niendelee pale pale hamna cha ziada..wala siwezi badilisha option....Naona iko powa mie nimejaribu imekubali hebu jaribu tena
Nacte wanahusika na kudahili wanafunzi kwenye Kozi za Afya na Ualimu tu mengine unaomba direct kwenye chuo.Mi nime-register vizuri na kuweka details zote . Shida nikakutana na option mbili tu ambazo ni health na elimu.. ..hamna zaidi ya hivyo .... nikaamua kujaribu kuchagua elimu ... baada ya hapo nakutana na vyuo vya ualimu tu hakuna kitu kingine... naombeni ushauri maana hata nik-logout nikija login inataka niendelee pale pale hamna cha ziada..wala siwezi badilisha option....
Nina-apply kwa ajili ya mdogo wangu na yeye anahitaji masomo ya biashara.. hapo kuna namna tena au ndo imekula kwetu?
Dah mbona shida sasa kwa nini wameweka tofauti? Kozi za afya na ualimu zinautofauti au upekee gani ukilinganisha na kozi nyingine katika udahili?Nacte wanahusika na kudahili wanafunzi kwenye Kozi za Afya na Ualimu tu mengine unaomba direct kwenye chuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika kwenye kuingiza field of study imegoma kabisa(hainyeshi kuendelea), HAS iko faint na TLF iko active lakini hainyeshi next step. Msaad mkuuNaona iko powa mie nimejaribu imekubali hebu jaribu tena
Mi nime-register vizuri na kuweka details zote . Shida nikakutana na option mbili tu ambazo ni health na elimu.. ..hamna zaidi ya hivyo .... nikaamua kujaribu kuchagua elimu ... baada ya hapo nakutana na vyuo vya ualimu tu hakuna kitu kingine... naombeni ushauri maana hata nik-logout nikija login inataka niendelee pale pale hamna cha ziada..wala siwezi badilisha option....
Nina-apply kwa ajili ya mdogo wangu na yeye anahitaji masomo ya biashara.. hapo kuna namna tena au ndo imekula kwetu?
Nimefika kwenye kuingiza field of study imegoma kabisa(hainyeshi kuendelea), HAS iko faint na TLF iko active lakini hainyeshi next step. Msaad mkuuMi nime-register vizuri na kuweka details zote . Shida nikakutana na option mbili tu ambazo ni health na elimu.. ..hamna zaidi ya hivyo .... nikaamua kujaribu kuchagua elimu ... baada ya hapo nakutana na vyuo vya ualimu tu hakuna kitu kingine... naombeni ushauri maana hata nik-logout nikija login inataka niendelee pale pale hamna cha ziada..wala siwezi badilisha option....
Nina-apply kwa ajili ya mdogo wangu na yeye anahitaji masomo ya biashara.. hapo kuna namna tena au ndo imekula kwetu?
nitafute in box nikupe tupeane namba nikuelekezeJamani namfanyia application bwana mdogo sasa sehemu zingine zote flesh ila tukifika sehemu ya kuingiza details za fomu this naambiwa errors jamani naomba aliyefanikiwa kuapply na alikumbana na tatizo kama hilo alifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefika kwenye kuingiza field of study imegoma kabisa(hainyeshi kuendelea), HAS iko faint na TLF iko active lakini hainyeshi next step. Naomba msaada hapa
Dah mbona shida sasa kwa nini wameweka tofauti? Kozi za afya na ualimu zinautofauti au upekee gani ukilinganisha na kozi nyingine katika udahili?
Hii serikali yetu inazingua kinoma noma... na ilitakiwa kwenye website yao watoe tahadhari mapema kabisa unapoanza mchakato.
Yaani tulishalipia ndio matokeo yake hayo tena hela yetu imeliwa.
Waliweka hilo tangazo mbona labda tu hukulisoma kabla ya kuanza kuapplyDah mbona shida sasa kwa nini wameweka tofauti? Kozi za afya na ualimu zinautofauti au upekee gani ukilinganisha na kozi nyingine katika udahili?
Hii serikali yetu inazingua kinoma noma... na ilitakiwa kwenye website yao watoe tahadhari mapema kabisa unapoanza mchakato.
Yaani tulishalipia ndio matokeo yake hayo tena hela yetu imeliwa.