Jamani naombeni ushauri kwa hili

We mtumie tu pesa,kisha andika kwenye daftar,siku ya kutoa mahari unapunguza hela yako uliyokua unachunwa
 
Modern world!
Hujapeleka hata posa mama anakupigia simu za salamu mpaka kuomba msaada!
Bint aki conceive mama atahoji kweli?
 
Pole chuma ulete. Nimekumbuka issue ya mchune kama mbuzi wa vingumguti.
 
Inamaana hata siku ya kwenda kutoa mahali utakuja kuuliza kama utoe au usitoe? BTW,kutoa ni moyo, toa kulingana na uwezo wako, kuwa sehemu ya msada sio mbaya.
Kutoa mahali ndio nini tena mkuu!
 
Eh huyo mam kiboko ata mahari hujapeleka ashaanza kuomba hela anaumwa tena directly loh..bora angemwambia ata mwanae amuombee basi....afu usikute haumwi, anasoundsoundije kwa simu ka mgonjwa au? Lakini ntu wewe ushapenda ntumie tu mama ntwara huko
 
ushawahi kumuona huyo mamamkwe?? Una uhakika kuwa anaumwa kweli? Jaribu kuwa na uhakika kabla ya kutuma pesa kiholela ..c unajua hapa mjn twasaka hela?? Honestly nachukia sana hii tabia ya wakwe kupenda kuwa tegemezi.
 
Asante dada kwa ushauri wako dada
 
Tunatofautiana makabila,wengine wanapima kwa njia hiyo una upendo kiasi gani kwa wazazi wa huyo binti,isije ikawa umependa tunda na si mti wake.Kwa hiyo we tuma kuonyesha upendo hata msichana mwenyewe atakukubali.
 
Nashukru sana mkuu kwa ushaur wako mzuri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…