A M. Lyimo
Member
- May 27, 2013
- 50
- 27
kwani yule malkia mwenye gauni refu waliyekuwa wanamchukulia kama mungu amefulia au amesoma ameona hawasomeki!!Wachungaji watakuwepo tu mkuu, ila hata kama wataungana binafsi sidhani kama hilo tukio litaitwa "Kufunga Ndoa"
Huyo Mputa ndio chaguo lao kwa sasa, jamaa wamefulia hawana hela wale
well said....umenikumbusha wakati naaza kuingia kwenye game siku nilimpigia magoti demu naomba niingize kichwa tuu...naye akanipa similar response. hahaha haya bwana basi ngoja nije kula kabisa
Njoo uangukie pua na kichwa chako....
Ntakipunyua kichwa chote...
hahaha sasa nikiangukia pua na kicha sii maana yake tayari nitakuwa ndani yako...kichwa cha dushelele ndani ya vjayjay na pua well that means nitakuwa napata denda lol
kwani yule malkia mwenye gauni refu waliyekuwa wanamchukulia kama mungu amefulia au amesoma ameona hawasomeki!!
Tatizo ndoa za siku hizi ni kama tunajidanganya nafsi zetu tu, ndoa zinafungwa kwa taratibu za kidini lakini wanaofunga ndoa mioyoni wapo tofauti. Hapo kuna tatizo gani kama mkristo wa kweli kuna kuogopa nini na hiyo imeshatokea kwamba wameshafanya uzinzi kabla ya ndoa na kinachotakiwa ni kukaa na mchungaji kuangalia taratibu zinasemaje kuhusu hilo kwani kutenda dhambi ni kosa lakini anaetubu husamehewa mbele za mungu
Hawa ni wakristo hiyo ki2 Hamna na una ushahidi upi? Weka mstari wa kuwaongoza kwa imani yao.... I mean toa Neno kwenye Bible liwaongoze.. Upooo?
mmmmmmhhhhh......papuch itatokea katika paji la uso.
Waulize wenzio
wenzangu wakina nani?
Hawa ni wakristo hiyo ki2 Hamna na una ushahidi upi? Weka mstari wa kuwaongoza kwa imani yao.... I mean toa Neno kwenye Bible liwaongoze.. Upooo?
Watakuja kujitaja wenyewe.....hii km ngoma ya wachaw imepigwa bac ukiona mtu anajitikisa ujie yumo.
Papuch mwil mzma nw!
Ukiona hivyo,ujue hao kwa nje walikuwa wanajifanya wapendwa(wameokoka/walokole) sasa wanaona hiyo mimba itawafehesha na kwani jamii iliyowazunguka inajua hawabanjuani kumbe wanafanya kwa siri,na kama ndivyo ona shetani alivowaumbua.
mmmmmmhhhhh......papuch itatokea katika paji la uso.
Waulize wenzio
Habari zenu wana Jf,
Kuna rafiki yangu anatarajia kufunga ndoa mwez wa nane mwishon, jana mchumba wake alienda kupima na ikaonekana ana ujauzito wa mwezi mmoja, sasa wanapata wakati mgumu kwa kuwa hadi mwezi wa nane mwishon ujauzito utakuwa na miez minne, kinachowasumbua kichwa, kama mimba itakuwa inaonekana je mchungaji hawezi kugoma kufungisha ndoa? Wao ni waumini wa lutheran, anaomba ushauri kwa mwenye uzoefu na suala hili.
Naomba kuwasilisha
dah mbaya zaidi ukute ni ya kiutu uzima
mmmh.!Umeona eeeeeh...Lazima ajibebe kwa mugongo