take it from me,
Ndoa yaweza kufungwa huyo mke akiwa mjamzito na wala mchungaji asikatae kuwafungusha. Huwa kinachofayika ni kwamba watarudishwa kundini kabla ya ndoa kufungwa na huu ndio utaratibu wa kanisa la kilutheri.
kwangu mimi ukweli hadi mwezi wa nane binti atakuwa na mimba ya miez isiyopungua 4 kwa kumfanyisha huyu mama kazi nyingi sana zinazotokana na maandalizi ya sherehe ya harusi ni wazi kwamba atakuwa overwhelmed na hizo task and lastly atamuumiza mtoto na hata kumsababishia kupata still birth. nimeshuhudia wadada wengi sana ambao walikuwa wanahangaikia shughuli zao za ndoa wakiwa wajawazito huishia kupata still birth ama kumiscarry. mnd you first trimester ni very complicated and sensitive sana kwenye ujauzito. they shld me very careful kama lengo lao ni pamoja na kumpata huyo mtoto.