white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,894
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?
ni kweli bwana huu mtandao sio sijui wateja wamewazidi kiwango wanashindwa kuwamanage
Kumbe ni mtandao,nilidhani uende kwa kamerunihivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?
Tigo zote ni vimeo tu, uwe na hela usiwe na hela ni shida. Una hela network haishiki, huna hela network inashika tena kwa promotion!!!!
Tigo hata mimi siipendi.
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?
Au ulikopa mkuu,ukasahau kama umelipa au la! Haha hahaha! Amia huku!
haha haa alikopa huyoo