Jamani naombeni msaada kwa huyu rafiki yangu

Lakini ndicho anachokuwa nacho moyoni, kwann ktk hali ya kawaida asiyaseme? ...huwa naamini chochote mtu asemacho akiwa
1. Hasira
2. Amelewa
Mara nyingi huakisi kile alichonacho akilini mwake juu ya mtu huyo, ila hathubutu kuyasema akiwa 'mzima'

Yeah dats it !! No more say
 
Huyu rafiki yng anampenzi ila mpenzi mwenyewe sasa matatizo kila siku imefikia hatua amemtamkia rafiki yng kuwa wanawake hamna cha ziada zaidi ya kukufirigiswa na kuachwa rafiki yng hakusema lolote zaidi ya asante sasa jamaa ameanza kuombaa msamaha rafiki yng anaomba nimshauri naombeni mtusaidie wanajf

Kabla hatujawasaidia....wewe umemsaidiaje? Je walikua na mipango ya ndoa baadae au ilikua wanakutana kwa ajili ya kufirigisana tu? Tuanzie hapo
 
Huyu rafiki yng anampenzi ila mpenzi mwenyewe sasa matatizo kila siku imefikia hatua amemtamkia rafiki yng kuwa wanawake hamna cha ziada zaidi ya kukufirigiswa na kuachwa rafiki yng hakusema lolote zaidi ya asante sasa jamaa ameanza kuombaa msamaha rafiki yng anaomba nimshauri naombeni mtusaidie wanajf

Go straight to the point,don't beat around the bush.Sema wewe ndio muhusika
 
mkuu huyu ni wewe aisee, yaani huyu Kim nana kapost thread wewe ndani ya dakika moja na sekunde 55 umeshaiona?!...lol!
 
Last edited by a moderator:

Unajua me nimeshinda humu leo, ile naperuzi tu naona thread imeanzshwa na kimnana, kwanza nliogopa nikajua mtu kaiba pw...lol.

Kama huamini sio mimi angalio mwandiko, halafu sina kawaida ya kuanzisha anzisha thread...toka nijiunge nina thread 3 tu humu...

Ukibisha sikulazimishi kuamini....
 
Last edited by a moderator:
Huyu rafiki yng anampenzi ila mpenzi mwenyewe sasa matatizo kila siku imefikia hatua amemtamkia rafiki yng kuwa wanawake hamna cha ziada zaidi ya kukufirigiswa na kuachwa rafiki yng hakusema lolote zaidi ya asante sasa jamaa ameanza kuombaa msamaha rafiki yng anaomba nimshauri naombeni mtusaidie wanajf

hii kitu nilifanya olevel mwambie amkubali akienda pengine ni kahaba hakuna pozi go back to doz stressfree nana ulipigwa ban au
 
Back
Top Bottom