Jamani naombeni msaada kwa huyu rafiki yangu

kimnana

Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Huyu rafiki yng anampenzi ila mpenzi mwenyewe sasa matatizo kila siku imefikia hatua amemtamkia rafiki yng kuwa wanawake hamna cha ziada zaidi ya kukufirigiswa na kuachwa rafiki yng hakusema lolote zaidi ya asante sasa jamaa ameanza kuombaa msamaha rafiki yng anaomba nimshauri naombeni mtusaidie wanajf
 
Maneno yanayosemwa wakat wa ugomvi wa mapenzi mara nying huwa ni hasira tu sio ya kumaanisha
 
Loh, hilo jina mweeee

Nilitaka kuuliza ni ww?? ...back to the topic, kutofautiana kupo ktk mahusiano, ni kawaida. Lakini kutamkiana maneno mabaya yanaacha makovu, hata akidai amemsamehe atayakumbuka tu siku nyingine wakitofautiana....aangalie mwenyewe km apime kama anaona atayaweza
 
  • Thanks
Reactions: BAK
warudiane tu, ugomvi ni kawaida ktka mahusiano ila aangalie kama jamaa anaomba msamaha kwa kumaanisha. Anaweza kuwa amekaa akakumbuka vitamu alivyokuwa akimpa so anamkubali anamkwangua alafu anapotea tena
 
Maneno yanayosemwa wakat wa ugomvi wa mapenzi mara nying huwa ni hasira tu sio ya kumaanisha

Lakini ndicho anachokuwa nacho moyoni, kwann ktk hali ya kawaida asiyaseme? ...huwa naamini chochote mtu asemacho akiwa
1. Hasira
2. Amelewa
Mara nyingi huakisi kile alichonacho akilini mwake juu ya mtu huyo, ila hathubutu kuyasema akiwa 'mzima'
 
Nilitaka kuuliza ni ww?? ...back to the topic, kutofautiana kupo ktk mahusiano, ni kawaida. Lakini kutamkiana maneno mabaya yanaacha makovu, hata akidai amemsamehe atayakumbuka tu siku nyingine wakitofautiana....aangalie mwenyewe km apime kama anaona atayaweza

Sio mimi mkuu, huyo pacha.
 
warudiane aendelee kufirigiswa tu.........

hizo ni dalili za mtu aliyenachuki na wanawake.........
 
maneno ya kuropoka sometimes yanabeba ishu halisi anayowaza mtu,so akae kimachale hata wakirudiana
 
Nilitaka kuuliza ni ww?? ...back to the topic, kutofautiana kupo ktk mahusiano, ni kawaida. Lakini kutamkiana maneno mabaya yanaacha makovu, hata akidai amemsamehe atayakumbuka tu siku nyingine wakitofautiana....aangalie mwenyewe km apime kama anaona atayaweza
Unajua mistake yenu kina dada ndo hapo...dalili za wanaume wakorifi na abusive huwa zinaonekana mapema.. lkn mnasamehe..mnasanehe tu na kupotezea..ila baadae ndo mnakuja kugundua mmekosea ..poleni sana kwa kunyimwa uwezo wa kufanya maamuzi kwenye maisha yenu..
 
Kusamehe tunasamehe cheif, lakini hapo kwenye kuamua kubaki mmmh! si wote tunaweza hayo, bora kujiondokea mapema...ila kutokana na mdau mwenyewe kufikia kuomba ushauri hapa ni kwamba anaona aondoke sema anatafuta sababu hapa jamvini aamue kubaki chini ya kivuli cha upendo
 
Back
Top Bottom