jamani naombeni mnieleweshe maana ya 3G

Kwani generation maana yake nini wakuu?....mwanzo nilihisi wadau wanauliza ki-masihara but baada ya kuona mpo serious nikavutika kuchangia mada! "A generation can refer to stages of successive improvement in the development of a technology"-from wikepedia hiyo.....karibu giants wote wa technology hapa duniani wana generation za products zao, huwa wanatofautiana tu namna ya ku-name hizo generations wengine huwa wanatumia majina kwa mfano microsoft OS kuanzia nyuma ya microsoft windows 95,98,2000,xp,vista,7 mpaka leo tupo na microsoft windows 8..zote hizo ni generation za product moja, au kama IPhone generation, tulianza na Iphone, then Iphone Edge, Iphone 2G,Iphone 3G...tukatangaziwa iPhone 5G inakuja but kifo cha Steve Jobs kili-intervene ikabidi wa-release Iphone 4S (iPhone 4 Steve) kwa ajili ya heshima ya Hayati CEO huyo na sababu zingine za kibiashara of course...au pia angalia generations za operating systems za apple na cisco zote zipo kwa format ya points.

Nota Bene (NB):katika technology, generation ni stage tu ya evolution ya product fulani na majina ya generations za hiyo product yanategemea tu na "naming convention of the particular company"....though more often than not when a company was releasing the generations of their products in whole numbers then all of the sudden they release a product with a point, that means certain circumstances forced them to release the product before its completion....but wasnt the original design drafted on paper on the first place and the whole number generation is yet to be released.
 
Naomba kuuliza; je kama 3.75G inahitaji kulipia na simu maalumu, je inakuwaje Airtel wanatofautiana na bronchures za Nokia? Bronchure za Nokia zinasema simu za Nokia zina access ikiwa hiyo huduma ipo.
 
Naomba kuuliza; ikiwa kama 3.75G inahitaji kulipia na simu maalumu, je inakuwaje Airtel wanatofautiana na bronchures za Nokia? Bronchure za Nokia zinasema simu za Nokia zina access ikiwa hiyo huduma ipo.
 
Hapo mim nimetoka kapa kabisaaaa??

Bora liende sie wengine ni wazee wa kanyaga twende.
 
Back
Top Bottom