Mimi na mume wangu tuna miaka mitatu ktk ndoa tuna mtoto mmoja. Ye ndo mwanaume wangu wa kwanza i mean alinikuta bikra. Mwaka jana alpata tatzo akawa hawez kugegeda nkamvumilia tu hvyo hvyo baada ya muda kama miez tisa hv kdogo nkimuandaa anasimamisha angalau tukawa tunagegeda. Kinachonisumbua sasa hv yan tunaweka kukaa hata mwez hatujafanya mpaka mi nimuanze na wakat mwngne anakutoa sababu oh mara kachoka na hata tukilala tunalala kama kaka na dada yan ckumbatiwi yan nachoka japo ndo hvo kankuta cjui mwanaume mwngne na cna mawazo ya kusaliti mi ninachotaka arud kama zaman manake now mi n kama dada yake nkmulza anambie kamj tatzo linaendelea hasemi, jaman nfanyeje manake namvumilia ye haonyesh ht kujal.