Jamani naomba ushauri wa kuusu hisa

Jamani naomba ushauri wa kuusu hisa

IKISU

Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
64
Reaction score
13
Jamani naomba ushauli juu ya hisa ni kinunua zina[/COLOR] faida kwa apo badae manake kunamtu kaniambia amna kitu naomba ushauli manake ela yenyewe ni ya manati tu
 
Inategemea ni hisa za kampuni gani? cha muhimu kabla hauja nunua hisa, angalia sana fanancial information zao, kujua earning per share imekaaje! kama upo makini unaweza ukagain na hisa. for more info:
 
achana na hiyo biashara kabisa itakula kwako maana faida yake ni ya muda mrefu sana na inakuwa ndogo sana labda uweke mamilioni ya pesa. na kuna uwezekano wa kupoteza kabisa npesa yako mana mie nilishanunua kuna kampuni fulani posta ila baada ya lile kampuni kushindwa nkendelea jamaa walishindwa kabisa kuturejeshea pesa zetu.... kwa kweli ckushauri
 
Back
Top Bottom