usiforce visivowezekana viwezekane.
Mimi niliwahi kuwa hivo nampenda MTU yeye hanipendi... halafu napendwa na MTU ,simpendi!
nikamkubali kipindi nmeachana na huyo bwana Ila moyo wangu haumpendi kabisa nikamwacha gafla sikufanya nae chochote!
Kama miaka 9 iliopita na ananipenda mpaka Leo, na Mimi simpendi kimapenzi kabisa na anajua!