Jamani naomba msaada kwa hili (aliye hewani ani PM)

Rahajipe

Senior Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
165
Reaction score
63
Mimi sasahivi kila nikijaribu kupost thread mpya naletewa ujumbe huu hapo kwenye blue, je nifanyeje? (Your submission could not be processed because the token has expired.

Please push the back button and reload the previous window).
 
Hii post umeipost vipi? Shida ni kuelekezwa au una ajenda ya siri?
Mimi sasahivi kila nikijaribu kupost thread mpya naletewa ujumbe huu hapo kwenye blue, je nifanyeje? (Your submission could not be processed because the token has expired.

Please push the back button and reload the previous window).
 
Mimi sasahivi kila nikijaribu kupost thread mpya naletewa ujumbe huu hapo kwenye blue, je nifanyeje? (Your submission could not be processed because the token has expired.

Please push the back button and reload the previous window).

cha kufanya tupige tu story....
 
Hahahaha, nakuja pm mwaya. Father of All, acha vijana wajifunze mbinu za porini. Hajaona kitufe cha report wala hamjui invisible na maxence.
 
Last edited by a moderator:
huku kheri tupu kabisa....ukianza hayo majina ya shem utanipotezea njiwa wangu wooote...lol
habari ya siku my dia
hahaha, umetengeneza kiota eeh. Basi kakangu, uthijali. Mie sina kiroho cha kuku. Khabari nzuri tu, sie hatujambo. Tunaungojea mwisho wa dunia, naona Maya kuna hitilafu za kiufundi.
 
]Hii post umeipost vipi? Shida ni kuelekezwa au una ajenda ya siri?[/[/COLOR]QUOTE]
Kaka nashukuru sana, kwa swali lako. account yangu imekuwa blocked hii ninayotumia ni ya mwenzangu. Nahitaji kuelekezwa wajameni.
 
hahaha, umetengeneza kiota eeh. Basi kakangu, uthijali. Mie sina kiroho cha kuku. Khabari nzuri tu, sie hatujambo. Tunaungojea mwisho wa dunia, naona Maya kuna hitilafu za kiufundi.

Mweeh nashukuru sana my dear...huu mwaka wa wazungu mie umenipitia kushoto sana.....mwaka mpya si majira wala vipato vyabadilika...
lakini haimaanishi ukinialika sitafika....
 
Unataka kuelekezwa nini? Si uulize hapa uelekezwe wajameni?

Jamani nimesema kuwa kwenye account yangu nikijaribu kupost thread ndiyo inaniletea ujumbe huo hapo juu kuwa TOKEN HAS EXPIRED, sasa nifanyeje?
 
Mweeh nashukuru sana my dear...huu mwaka wa wazungu mie umenipitia kushoto sana.....mwaka mpya si majira wala vipato vyabadilika...
lakini haimaanishi ukinialika sitafika....

sasa kaka unajua kabisa nilipo na wengine watakuwepo. Usije ukaja na njiwa wako akaishia kuchinjwa. Ila karibu sana kama una ubavu. Nafanyia rehearsal recipe yangu ya grilled mutton in spicy sauce. Mie mwezi wangu wa kwenye tv, vyoote nasherehekea.
 
Jamani nimesema kuwa kwenye account yangu nikijaribu kupost thread ndiyo inaniletea ujumbe huo hapo juu kuwa TOKEN HAS EXPIRED, sasa nifanyeje?

ahaaaa, pole sana. Sasa, tuma pm kwa invisible na Paw, roulette, meezy au fang. Watakuelekeza cha kufanya. Kama unaona kitufe cha report, bofya afu uwaulize.
 
Asante sana dada yangu kwa ushauri ila hicho kitufe sikioni labda niwasiliane na hao. Siku njema, aidha unaweza kuniambia kitufe hicho kiko pande ipi.
 
Mwanangu King'asti una vituko wewe! Kumbe nawe umemstukia siyo? Nilishangaa eti meseji hazipiti. Au ni yale yale jitu linakifuatilia kibinti cha mtu likifika eti linauliza kama kunauzwa pombe. Zama zetu ukiingia na gea hiyo jua baba mwenye nyumba atakutia bakora mchana kweupe na akikutana na dingi yako anaongezea mashitaka na lazima uchapwe.
Hahahaha, nakuja pm mwaya. Father of All, acha vijana wajifunze mbinu za porini. Hajaona kitufe cha report wala hamjui invisible na maxence.
 
sasa kaka unajua kabisa nilipo na wengine watakuwepo. Usije ukaja na njiwa wako akaishia kuchinjwa. Ila karibu sana kama una ubavu. Nafanyia rehearsal recipe yangu ya grilled mutton in spicy sauce. Mie mwezi wangu wa kwenye tv, vyoote nasherehekea.

hakuna awezae kamata ka njiwa kangu....kuwa na wasiwasi na hao njiwa wa huko wasijekimbilia bandani kwangu nikija kula ubwabwa....hebu karangiza na kama utahitaji msaada niambie maana kwenye hii sekta najiweza sana.......
 
vile ushazeeka ngoja nikudodosee mbinu za siku hizi. Kuna mijitu inapiga random numbers. Afu inajifanya kuulizia mtu. Ukimuambia simjui, anauliza kwani wewe uko wapi? Afu anaomba muwe marafiki. Uzuri na vocha unakuta zinawasumbua, manake wanatumia mbinu za porini.
 
hakuna awezae kamata ka njiwa kangu....kuwa na wasiwasi na hao njiwa wa huko wasijekimbilia bandani kwangu nikija kula ubwabwa....hebu karangiza na kama utahitaji msaada niambie maana kwenye hii sekta najiweza sana.......
mmh, msaada wa kupika sitaki kabisa. That is too romantic nisije nikakengeuka mie. Ila njiwa wa huku kwetu wamefugwa wakafugika, hawaingii banda au kiota kisicho chao. Weye njoo tu, mie na shemeji yako tukiingia jikoni ni wapishi mahiri japo msosi waweza chelewa kwa sababu ya delays za kiufundi.
 
Sasa mbona na nyie mmebadilisha kabisa lengo la thread hii na mmeamua kuigeuza kuwa kijiwe wakati mtu alitaka msaada? Mimi nafikiri kama kuna mtu anaweza kumsaidia basi afanye hivyo hata hapa, labda ameona PM inaweza kumweka active zaidi kupata anachokitaka ukizingatia kuwa thread hapa huwa zinapotea. Wengine wanasafu kwa vibaba labda.
Tatizo la wengi humu ndani tumetawaliwa na mawazo ya NGONO tu kuliko uhalisia wenyewe.
Msaidieni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…