Jamani naomba msaada kuhusu ability testing interview ya CRDB

kinasha

New Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Habari wadau wa jamiiforum!
Nimeitwa kwenye interview crdb bank kwa ajili ya ability testing naomba msaada kujuwa inakuwaje, interview ni kesho. thanks
 
Mambo?hongera kwa kuitwa interview, kwa CRDB ability test ni maswali ya kwaida sana ila yako very tricky. Pitia mtandaoni google, andika aptitute test, pitia maswali yoyote yatakueka pazuri. Ila interview zinafuatana sana ivo jitaidi kujiandaa kwa interview ya pili maana uwa ndo inawaacha wengi. Ya kwanza ni pure kutoka kwenye aya ma google questions, ya pili ndo inakuwa professional. Ukiitwa uka pass ya kwanza na ya pili apo tayari jiandae kuitwa banker kwa kuwa hawa watu wana utamaduni wa kuita only the cream with good GPA ,so kama umitwa probability ya kupata kazi ni 98%
Mawsali yanakuwa mengi, almost 300 na muda kawaida ni 1hour, alafu yote yanapigwa kwenye kompyuta na sio written,so kaa vizuri, usipanic,ujue si kumaliza maswali ila accuracy na speed ndo vitakupa job.
For more clarification unipm ntaku guide japo kidogo.

gsana
 
hongera sana....kwa kuitwa kwenye interviw.
For me i may comment you to have confidence.

ila tujulishane wapi kwa kutuma hizi maombi na wanazi consider.

All the best in your interview.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…