Naombeni msaada wa kuunganisha simu yangu na computer, sim yangu ni nokia 6300.nataka kutumia kwa ajiri ya kutumia internate, yaani naingiza bando katika simu na kuweza kuunga nisha kwenye computer, kwahiyo nitafanyaje?
pia anaweza kuchagua blue tooth connection ktk hiyo Nokia Pc suit then ak-aenjoy kiaina but kwa mambo yetu ya downloadi hizi net haziko faster kama Modem mkuu