Jamani naomba kwa anaejua sehemu nzuri ya darasa la computer

Nadhani ungejifunza kuandika na namna ya kuuliza maswali kwanza Computer zipo tu.
 
Unahitaji kusoma kitu gani? Siyo kila wanapofundisha computer wako vizuri. Inategemea nini unataka kujifunza.
 
[MjOTE="Kiintaneti, post: 15901908, member: 352083"]Tiririkeni hapa[/QUOTE]

Mim binafsi naona chuo kizur cha kusoma Course za computer ni UCC hutojutia hela yako na mda wako kwakwel,wako vizur na wako sehem mbal mbal hp DSM na kuna shift ni wewe tu unaingia mda gan.Kwa maelezo zaid fika ofisn kwao.Posta Azikiwe street ofis za CRDB,Mbez Beach kituo Goig au UDSM.Gudluck.
 
wengine ni smart brain computer training..wanapatikana njiapanda ya segerea(nyerere road) mkabala na bank ya crdb...
 
Back
Top Bottom