how old are you?
how old are you?
Ngoja nikutonye kidogo,mume ukiwa mwema kwa mke na mke anakua mwema kwako,na kama mume si mwema kwa mke na mke anakua si mwema kwako.Habari ya mjini kwa sasa ni kwamba,kama mume unachepuka na mke anaamua kuchepuka ili ngoma iwe droo. Ni ushauri tu..,chukua au acha.
Jamani naombeni kwa wale wadau wa muda na wenye ujuzi na mapenzi na mahusiano.Mwanamke mwema unamjua kwa kutumia vigezo vp?.Halaf sijawa na utalam wa kutupia uzi yaani uzi wangu baada ya muda mfupi haupo hewan nifanye je,kwa wajuzi mi bado mgeni sana humu nijuzen na hili
There is no crystal ball for that.
The only thing that comes remotely close is character.
But even that is too arbitrary and subjective.
You can seem to have unimpeachable rectitude now but next minute, lo and behold, you are the biggest jerk in the world.
You may comport yourself with great dignity today but it could just be a front that you are putting on.
Sorry to burst your bubble, but such is life and its vagaries.
Inatakiwa ugegede mabinti 360 kama mimi ili upate uzoefu wa kujijibu swali lako.I
Kingereza wengine hatuelew bana kam aje..tuandikie na kiswahili chiniThere is no crystal ball for that.
The only thing that comes remotely close is character.
But even that is too arbitrary and subjective.
You can seem to have unimpeachable rectitude now but next minute, lo and behold, you are the biggest jerk in the world.
You may comport yourself with great dignity today but it could just be a front that you are putting on.
Sorry to burst your bubble, but such is life and its vagaries.
Jamaa unajilia hani muni sahz hahahhahahaInatakiwa ugegede mabinti 360 kama mimi ili upate uzoefu wa kujijibu swali lako.I
Jamaa unajilia hani muni sahz hahahhahaha
Ya chumbani wenzio hawatangazi yanaishia huko huko ...We acha tu! mtoto anakoroma! kapata dozi nzito.