Ninashida ya buku tano nitakurudishia tar 15 mwez wapili. Please
We hujarogwa, ni huruma za kingese ndo zinakusumbua. Waote huwa tunasaidia ndug, lakini wengin kabla ya kusaidia huwa tunajiuliza yafuatayo..Nimekuwa na maisha magumu kwa huruma . Nafanya kazi ila mshahara wangu wanaishia kufaidi ndugu zangu na watu wengine.
Ndugu zangu wamekuwa kila wakati watu wa kunililia shida tu na zote zinaishia kuhitaji hela na shida huongezeka zikikaribia tarehe za mwisho wa mwezi nami nimeshindwa namna ya kuachana nao japo mshahara wangu ni mdogo
Nilijaribu kubadili namba ya simu nikajikuta nakuwa mpweke sipati msg wala mtu wa kunibeep nikajikuta narudisha line ya zamani.
Kibaya zaidi mimi nikikutana na mtu hata nisie mfahamu akinililia shida hata kama sina kitu mfukoni najikuta nimeenda hata kukopa ili kutatua tatizo lake nabaki kulipa madeni
Huwezi amini kuna siku naishiwa hela kiasi cha kuishi kwa mlo mmoja hata wakati mwingine kukoswa nauli ya kazini naamua kukatiza kwa mguu kariakoo kimara ila kesho yake nikipata hela mtindo ni huo huo
Jamani basi alieniroga aniache imetosha basi maana hii si huruma tena aniachie walau nifanye kitu cha maendeleo kunisaidia la kesho. Ushauri wenu wana jf
We hujarogwa, ni huruma za kingese ndo zinakusumbua. Waote huwa tunasaidia ndug, lakini wengin kabla ya kusaidia huwa tunajiuliza yafuatayo..
1. Hiyo shida ninayoliliwa inauwa..???
2. Kuna sababu zozote msingi kutoa hapo hapo ukiombwa kama vile button ya ENTER kwenye kompyuta...???
3. Kuna wangapi wanaoweza kumsaidia mwombaji zaidi yangu...???
4. Mara ya ngapi mwombaji ananililia shida..???
5. Huyo mwombaji, ameshawahi kunisaidia ninapokuwa nina shida...???
6. Kwa kumsadia mwombaji, vitu gani nitavikosa...??? Maana wema wa mshumaa nao ni ufala tu. Siwezi kumulikia wengine wakati mimi nayeyuka
7. Nina uhusiano gani na mwombaji..???
NB: epuka sana kuombwa na kutoa hapo hapo, hata ATM huwa inaishiwa au wakati mwingine inameza kadi au inasitisha huduma kwa muda..

Unamfahamu physically.Msimlaumu huwa hawapi ndugu ila MADEM. HUYU JAMAA NI MOTO CHINI. akiona makalio ya kinamama midomo inacheza cheza. acha aumie
nitumie vocha ya buku kaka sina vocha kabisa ndugu yangu
Yan father umemaliza yan apa ninalia mamb hayaendi mana nimekopesha watu wamepleka watoto shule bt me nimebak na njaa nataman nicngetoaWe hujarogwa, ni huruma za kingese ndo zinakusumbua. Waote huwa tunasaidia ndug, lakini wengin kabla ya kusaidia huwa tunajiuliza yafuatayo..