Anayevaa hivyo atakuwa anatafuta kitu..Ndo nasikia leo..........
hata wanawake takiwa Hedhi hatuvai nguo zote hizo ndani usitusingizie bana
Ndo nasikia leo..........

nije kukusachi?
Ndo nasikia leo..........
hata wanawake takiwa Hedhi hatuvai nguo zote hizo ndani usitusingizie bana
Kweli asitusingizie,nani anataka kuungua na joto?
Ila nimepata mashaka,hizo nguo ziko ndani yeye amezionaje?
Asante. HEBU SOMA HAPA ZAIDI.Habari zenu wana-MMU,.
Jamani leo nipo upande wa wanaume wenzangu,..
Kuna katabia ambacho nimekaona kwa baadhi ya vijana/wanaume,.
Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,..
Hii hali ni ya kawaida kuiona kwa akina dada/mama kwa sababu maalum ambazo zinaeleweka wazi hasa wakati wanapoingia katika siku zao za hedhi,.
Lakini kwa wanaume napata walakini kidogo,.
Kulikoni kuvalia hivi wanaume wenzangu??...
Kuvaa chupi moja, boxer moja na suruali moja inakubalika? Kwa nini?...Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,.....
Habari zenu wana-MMU,.
Jamani leo nipo upande wa wanaume wenzangu,..
Kuna katabia ambacho nimekaona kwa baadhi ya vijana/wanaume,.
Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,..
Hii hali ni ya kawaida kuiona kwa akina dada/mama kwa sababu maalum ambazo zinaeleweka wazi hasa wakati wanapoingia katika siku zao za hedhi,.
Lakini kwa wanaume napata walakini kidogo,.
Kulikoni kuvalia hivi wanaume wenzangu??...
Habari zenu wana-MMU,.
Jamani leo nipo upande wa wanaume wenzangu,..
Kuna katabia ambacho nimekaona kwa baadhi ya vijana/wanaume,.
Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,..
Hii hali ni ya kawaida kuiona kwa akina dada/mama kwa sababu maalum ambazo zinaeleweka wazi hasa wakati wanapoingia katika siku zao za hedhi,.
Lakini kwa wanaume napata walakini kidogo,.
Kulikoni kuvalia hivi wanaume wenzangu??...
We mtoa mada kuna jamaa alileta uzi hapa et wanaume nao huingia period! Inawezekana hao wanaume unaowaona wamevaa chupi nne nne wapo kwenye siku zao! POINT OF CORRECTION-wanawake hata wawe period hawavai nguo nyingi! Sawa mkuu?