Jamani najikuna tuu...

Ukitoka kunyoa na zikianza kuota ndiyo tabu yake. Zinawasha huna budi kujikuna. anajikuna tu hapo.
 
aisee... Hizi picha hiz jaman mnatu......
 
...natumai si 'fangasi'....
 
hakuna shida mkuu we endelea tu ni sehemu ya mwili wako...sawa na kukuna kidevu!!
 
Nyie mnajua si wengine mna2pa shida sana,aya nipe contact huwezi kunitesa hivi nitakuachia laana
 
Halafu huyu manzi anaonekana ana mzigo mkubwa sn.
 
Na wewe supu ya pweza bwana.... Kwanza picha hii umeipata wapi kama si mpenzi wako...pili we ndo umeandika heading jamani ninajikuna na chini unauliza mkono unaokuna ni wanani...mmmmhhh haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…