Jamani nahitaji ushauri, nina homa na Hipsi za wadada

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,172
Habari wana MMU wote . Nadhani ni wazima na kama kuna mtu ni mdhaifu basi tunamwomba Mungu amrejeshee afya kama zamani.

Tatizo langu wana MMU wenzangu ambalo limekuwa likinisumbua sana kupenda kuangalia makalio ya wadada . Yaani nikipishana tu mdada yeyote aliyefungasha siwezi kuvumilia lazima nigeuze shingo nyuma nimwangalie. Wakati mwingine huwa najitahidi kujikaza nisigeuke nyuma lakini mwisho naishia kugeuza shingo na kuangalia ili nijiridhishe nafsi yangu.

Hii tabia ilishawahi kuniaibisha mbele za watu kwani kuna siku moja nilipishana na dada mmoja aliyejaaliwa nikajikuta nimegeuza shingo kwa mda mrefu kuangalia kazi ya uumbaji , huku naendelea na safari yangu lakini shingo nimeigeuza nyuma ndipo nilipokutana na adha ya kutumbukia kwenye dimbwi la maji huku watu wote waliokuwa jirani wakinicheka .

Sasa hii tabia inanifanya niwe mtumwa . Na ninavyojiona nahitaji kabisa msaada wa ushauri wenu .
 
tafuta wako mwenye tukunyema uwe unamkodolea macho akiwa anakatiza ndani ya nyumba..
 
Unapenda mahips siyo!!

Last edited by a moderator:
Mleta uzi, anahitaji tiba na sio ushauri.
Bilashaka mleta uzi anatatizi la kisaikolojia aisee...
 
itakuwa huyo jamaa ni mtumiaji mzuri sana wa 0713 000000000.
 
Huo ni ujinga kwenye oblongata.

Kuangalia hips maana yake unakuwa unamuwazia mengi sana huyo mdada, like akivua atakuwa iv, nikilala nae nitafanya ivi.

Deal kwanza na tamaa ulizonazo na badae uone wanawake wote ni sawa tu hawana jipya. Ukishindwa jiombee mwenyewe kwa imani yako ili hilo pepo liondoke.
 
Endelea tu kuangalia,umeshaingia kwenye dimbwi la maji machafu siku ukistukia Uko wodini kisa ulijaribu kuvuka bara bara Huku watazama neema kubwa kubwa utajitibu.
 
Neema kubwa kubwa! haaa! haaa! haaa! haaa!
allah akbar! hatari sana!
 
tafuta wako mwenye tukunyema uwe unamkodolea macho akiwa anakatiza ndani ya nyumba..

nafsi hairiziki,wanaume wengi tumeathiriwa na hii hali,binafsi mamsapu kafungashia balaa ila nkitoka macho yanitoka balaa utazani nimebanwa na mlango,kuna siku alinipa makavu nlitamani nizame ardhini kwa aibu
 
Habari wana MMU wote . Nadhani ni wazima na kama kuna mtu ni mdhaifu basi tunamwomba Mungu amrejeshee afya kama zamani.

Tatizo langu wana MMU wenzangu ambalo limekuwa likinisumbua sana kupenda kuangalia makalio ya wadada . Yaani nikipishana tu mdada yeyote aliyefungasha siwezi kuvumilia lazima nigeuze shingo nyuma nimwangalie. Wakati mwingine huwa najitahidi kujikaza nisigeuke nyuma lakini mwisho naishia kugeuza shingo na kuangalia ili nijiridhishe nafsi yangu.

Hii tabia ilishawahi kuniaibisha mbele za watu kwani kuna siku moja nilipishana na dada mmoja aliyejaaliwa nikajikuta nimegeuza shingo kwa mda mrefu kuangalia kazi ya uumbaji , huku naendelea na safari yangu lakini shingo nimeigeuza nyuma ndipo nilipokutana na adha ya kutumbukia kwenye dimbwi la maji huku watu wote waliokuwa jirani wakinicheka .

Sasa hii tabia inanifanya niwe mtumwa . Na ninavyojiona nahitaji kabisa msaada wa ushauri wenu .

Looooh, huyo ni Ibilisi yuko kazini na keshakufunga minyororo unahitaji maombezi na toba ili uachane na kuhusudu hips na makalio.
 
Attachments

  • bigass-5.jpg
    bigass-5.jpg
    44.5 KB · Views: 176
  • big-butt.jpg
    big-butt.jpg
    12.5 KB · Views: 274
  • fgg.jpg
    fgg.jpg
    8.7 KB · Views: 156
  • makaliooooo.jpg
    makaliooooo.jpg
    32.2 KB · Views: 228
  • Matako 2.jpg
    Matako 2.jpg
    13.1 KB · Views: 297
  • rt.jpg
    rt.jpg
    7.6 KB · Views: 255
  • RzXPuFG83.jpg
    RzXPuFG83.jpg
    54.1 KB · Views: 212
  • sd.jpg
    sd.jpg
    4.7 KB · Views: 198
  • takoo.jpg
    takoo.jpg
    17.5 KB · Views: 283
Back
Top Bottom