Jamani nahitaji ushauri, nina homa na Hipsi za wadada

Jamani nahitaji ushauri, nina homa na Hipsi za wadada

Looooh, huyo ni Ibilisi yuko kazini na keshakufunga minyororo unahitaji maombezi na toba ili uachane na kuhusudu hips na makalio.

Kwanini ibilisi tu linapokuja suala la makalio na hipsi.....??? eti mama mdogo , naomba ufafanuzi, kwani ushauri wako waweza kuwa msaada kwa wengi.
 
nafsi hairiziki,wanaume wengi tumeathiriwa na hii hali,binafsi mamsapu kafungashia balaa ila nkitoka macho yanitoka balaa utazani nimebanwa na mlango,kuna siku alinipa makavu nlitamani nizame ardhini kwa aibu

Hongera mkuu the DON kwa kumiliki kifungashio
Je, wa kwako Kafunga kama huyuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom