mkuu kama kweli una acces ya Muhimbili ungeweza kumsaidia dada
bummy kuliko kuendelea kumtisha pasipo kupata msaada wowote!
Sidhani kama Muhimbili unafanya kazi peke yako kama kweli unafanya kazi huko! Unaweza kumuelekeza akapatiwa huduma.
Mpaka sasa hatujui tatizo rasmi linalomsumbu dada
bummy kwani dalili alizozisema zinashabihiana na matatizo mengine mbali na uzazi na vipimo bado hajafanya.
Nashauri tupunguze kumtisha na badala yake tumpe msaada kwa walionao.