Ilonga Msalabani
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 111
- 36
Mimi ni kijana nimemaliza chuo kikuu fani ya sociology miaka 2 iliyopita, jinsia ni mwanaume, sijabahatika kupata ajira bado. Nafafuta mwanamke atakaye kuwa mchumba na baadae mke mwenye vigezo vifuatavyo,
1. Awe na ajira au biashara (kipato kizuri)
2. Awe na kausafiri hata bajaji sio mbaya (ninasononeshwa sana na hali ya kuomba usafiri/lifti nikitoka harusini au bar kuangalia mpira nyakati za usiku.
3. Asiwe mwanachama wa CHADEMA asije andamana chumbani kwangu wana misimamo ya kimaandamano sana. Kwa mwanachama wa CCM its an added advantage.
4. Awe sio mjane.
5. Umri usizidi miaka 60.
6. Sifungamani na dini yeyote.
7. Usiwe mjamzito sina muda wa kulea mimba za watu.
8. Kitambi cha wastani ni staha kwenye penzi
9. Asiwe mweusi kama mkaa tusije zaa sokwe.
10. Awe mzigoo eeh mzigo. (asiwe kimbao mbao)
Tafadhali naomba mni PM haraka nikutumie picha pamoja na phyisical address. Nisaidieni kuondokana na msongo wa mawazo. Mimi ni kijana mtanashati sema nimekosa refferee mjini ili nipate ajira.
Haaaahaaaaa Huna kazi unataka mke akulee,
usafili huna Unataka wa mwanamke,
HUNA KAZI TAFUTA KAZI KWANZA! Unataka kulishwa tu kama MsukuLe!
mpenzi mzigo.
saasa unataka mchumbaa au kufanya kinyume kua kweli?weka wazi fursa zipo mkuu we tania tu.hapana sio mzigo. wazungu wanasema vice versa is true...
Dunia inavituko kweli. Umesema huna kazi, sawa na hapo namba 7 unasema huna muda wakulea mimba za watu..
Hahahaha! Eti mwenye gari!! Ngoja wakuchangamkie!!!
yes mkuu, vigezo na masharti kuzingatiwa. Niko bize na bahasha za kaki mjini napeleka CV kwenye makampuni.
saasa unataka mchumbaa au kufanya kinyume kua kweli?weka wazi fursa zipo mkuu we tania tu.
rudi kijijin kwenu, mjini gharama @!
Ahahaahah sijui ndo wewe umenipita speed hapa
Hahahaha! Eti mwenye gari!! Ngoja wakuchangamkie!!!
Mimi ni kijana nimemaliza chuo kikuu fani ya sociology miaka 2 iliyopita, jinsia ni mwanaume, sijabahatika kupata ajira bado. Nafafuta mwanamke atakaye kuwa mchumba na baadae mke mwenye vigezo vifuatavyo,
1. Awe na ajira au biashara (kipato kizuri)
2. Awe na kausafiri hata bajaji sio mbaya (ninasononeshwa sana na hali ya kuomba usafiri/lifti nikitoka harusini au bar kuangalia mpira nyakati za usiku.
3. Asiwe mwanachama wa CHADEMA asije andamana chumbani kwangu wana misimamo ya kimaandamano sana. Kwa mwanachama wa CCM its an added advantage.
4. Awe sio mjane.
5. Umri usizidi miaka 60.
6. Sifungamani na dini yeyote.
7. Usiwe mjamzito sina muda wa kulea mimba za watu.
8. Kitambi cha wastani ni staha kwenye penzi
9. Asiwe mweusi kama mkaa tusije zaa sokwe.
10. Awe mzigoo eeh mzigo. (asiwe kimbao mbao)
Tafadhali naomba mni PM haraka nikutumie picha pamoja na phyisical address. Nisaidieni kuondokana na msongo wa mawazo. Mimi ni kijana mtanashati sema nimekosa refferee mjini ili nipate ajira.
Nilidhani kuna jukwaa la Jokes/utani!