Jamani naenda kufumania

Nataka nione kwa macho. Koz hizo nilishamkutanazo zaidi ya mara 3 na akawa anabisha mpaka analia na kutoa makamasi.
 
when u go don't forget to include global publishers
 
upo tayari? tusijekusikia umekufa au umejeruhiwa vibaya nenda na watu kama wawili. nasubiria matokea. kila la kheri
 
...kama hana mpango na wewe mfanye mtaji tu...teh te
 
Nataka nione kwa macho. Koz hizo nilishamkutanazo zaidi ya mara 3 na akawa anabisha mpaka analia na kutoa makamasi.
Sasa wadanganyika na kilio na kamasi kha we vp?we hujui hizo silaha madhubuti za mwanamke!!
 
....wewe hujawahi gegeda nje tangu mwe kwenye ndoa? endapo ulisha gegeda na hakukufumania basi mwache ajinafasi ili ajifunze mautundu zaidi
 

kama umegundua una mzidi ubavu huyo mhadhiri ruksa go on,vinginevyo sio uende huko mkeo wamtafune na wewe kipigo ukipate
 
Hawa mashushu ni ndugu zangu...na rafiki ambao tunafahamiana sana.
 
Muda mzuri wa kufumania ni saa ngapi?..na siku gani ya week?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…