naachana na huyo mwanamke. Thats all
Wakati mwingine ni bora ujikalie tu huku ukifanya shughuli zako za maendeleo. Hiyo biashara ya kupekuapekua ili uione miguu ya nyoka haina faida kwako muzee!
mh watu8 ado ado basiii...Ukienda huko usisite kurejea hapa na kutupa mrejesho...kwa msisitizo utupiemo na picha mbili tatu...
Naachana na huyo mwanamke. Thats all
Upate uhakika wa vipi sasa na mpaka vithibitisho umeletwa?Nataka nipate uhakika tu. Koz huu sasa mwaka wa pili toka tumefunga ndoa...ni makelele mwanzo mwisho
Ukishamfumania what next?