Jamani na kwenu ndivyo ilivyo?

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Habari zenu wadau!
Mara nyingi wasichana wenye mvuto na sura nzuri hawana dharau karibia kwa kila mtu pengine wakitongozwa hutoa nafasi au kukataa bila sitaki nataka wala usumbufu wowote!
Lakini ndugu zangu sura ngumu kama wanameza chloroquine duh ni wagumu na wana dharau ya kupindukia hujiona wao ndio warembo hakuna duniani hasa unapomtokea hukusumbua hadi wenye moyo mwepesi hukata tamaa!
 
Ni kweli kabisa ...au ukute wale bonge nyanya....ni hatari mpaka unajiuliza hawa vipi...?
 
Kila mtu ana haki ya kukubali unachomweleza au la;Hakuna utafiti wala takwimu zilizowahi kutolewa kuthibitisha madai yako;Inaonekana hii inatokana na kukataliwa na Binti mmoja tu Kukataliwa na mmoja ukaja na ujumla kwa wanawake woteHuu ni ujinga tena upambafu kabisa.Bazazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…