Jamani mwenzenu Napendwa, ila

vipi lakini anakufikisha kileleni? tuanzie hapo kwanza..........!!!!!!!!!!!!
 
Nikiona nashindwa kuvumilia kabisa nitakualika uchukue jumlajumla usikonde best hata wewe
Dah... unajua mi nilikuwa najipanga lakini. Kila siku naingia PM nishushe mistari, but mdomo ulikuwa mzito...
 
nitafurahi sana kama utaniachia Verossa kwani nabaki kulikodolea macho tuuuu wala silienjoy acha walie na vijiba vya roho, Nimekusamehe laaziz wangu unayenipa usingizi wa hamu na kuona kuwa naji...................... kwako, ila naomba achana na hao wanawake zako akina vivian, Catherine na huyo bidada mdogo Mrembo by Nature plssssssssssssssssssssssss unaniua roho ati
Hapa ntajua wasiolipenda pendo letu...

Hata nimebadili nimepata dili leo nitanunua Subaru i think ntakuachia ile Verossa yangu...haya waache sasa waseme!
 
Last edited by a moderator:
nini kileleni hadi mawinguni ndo mana sitaki kumuacha kwani yeye ni usingizi wangu una jingine njipya
vipi lakini anakufikisha kileleni? tuanzie hapo kwanza..........!!!!!!!!!!!!
 
Noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
its realy love meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

real love na vitz wapi na wapi!
yani we hutoi msamaha na kufurahia penzi lako mpk utembeleee kiuno??
cha!ntarudi baadae!
 

Nafikiri zawadi ya maana zaidi toka kwake ingekuwa kuwa mwaminifu katika ndoa yenu na aache tabia ya kutamani wanawake nje ya ndoa yake, maana huu ukicheche wake, asije akakuletea zawadi ya VITZ ikiambatana na magonjwa mengine, lol! Ila siombei itokee hivyo, nimewaza kipuuzi tu!
 
jamani yashakuwa hayo tena hivi unaujua upendo wewe au unausikia? ukiona mpaka nimetoa thread hii ujue ni upendo wangu kwake na nimemsamehe mara ngapi, hvi hujui kuwa mwanaume akitaka kuomba msamaha kwa mkewe kama amemkosea huwaga anatoa zawadi iwe kubwa au ndogo ilimradi tu aone amesamehewa ana mwandani wake? hivyo ndo ujue kuwa laazizi wangu ananiomba msamaha kwa kunipa zawadi aone furaha yangu ikirudi tena napenzi letu likichanua kama ua ridi la hapo awali, kwani mumeo hakufanyii hivi? sasa tambua kuwa hapo ndo wanaombaga msamaha kwa wake zao kwa style hii kwao kusema kwa maneno ni ngumu ni vitendo au naongoppa kwa haya maneno niliyotext hapa ndugu zangu Filipo, Nicas Mtei, Bujibuji, Mtambuzi, ruttashobolowa Mr Rocky, stevoh, watu8 na kaka yangu Erickb52 hapa
real love na vitz wapi na wapi!
yani we hutoi msamaha na kufurahia penzi lako mpk utembeleee kiuno??
cha!ntarudi baadae!
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa huu ushauri wako na kunitakia heri mwenzio maana huyu mume wangu nampenda sana ila tatizo ndo hiyo kicheche sijui nimpeleke kwa padri akamwombee au nifanyeje best maana naona nitaambukizwa hivihivi najiona wewe ungekaa hapa kwetu ungeona vitimbi ninavyofanyiwa ungeondoka mapema mchana kweupe, nisaidie nifanyeje
 
kazi ipo!
 

Saa nyingine ukicheche ni tabia ya mtu na saa nyingine inaweza kuwa ni tamaa tu na saa nyingine kusababishwa na vitu fulani ktk ndoa. Ni ngumu kujua exactly nini hasa kimesababisha huyo wa kwako awe kicheche.

Ushauri ni kuendelea kumuombea kwa Mungu ili tabia hiyo ibadilike na kumuonyesha wazi kuwa unachukizwa na tabia zake hizo huku na wewe ukitimiza majukumu yako ya nyumbani kama mama na kama kawaida na kwa ufanisi mkubwa. Hakikisha unajua mumeo anapendelea nini na wewe kujielekeza kwenye hivyo apendavyo (kama siyo haramu) ili kumfanya asivimiss hivyo unavyovitafute huko nje akiamua kubaki hapo nyumbani. Hii inaweza kumsaidia. Hakikisha pia unatafuta namna ya kumshinikiza kwenda kwenye nyumba za ibada maana huko atakutana na mafundisho ya adili yenye kumuelekeza kutenda mema. Unaweza kutoka naye kwenye maeneo anayopenda kwenda kadiri inavyowezekana yumkini utabaini mengi yanayoweza kukusaidia kuijenga nyumba yako vyema.

Kila la kheri.

HP
 

Nishajitoa kwenye SACCOS zenu mapemaaaaaaaaaaaaa, na maradhi haya nani awe SACCOS, kwanza nasikia wewe ladyfurahia una mahusiano meeengi. Kwanza Mentor aatakuwa wa kushindanisha?heri hata angekluwa Erickb52 sawa
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada.
Jambo la kwanza ongea naye, muweke wazi kuwa kwakuwa ameoa hana budi kuachana na wa nje
Jambo la pili jichunguze wewe huenda ukawa ni chanzo cha tatizo " utapata majibu mtakapo zungumza na kuboresha ndoa yenu"
La tatu, ukitambua kama siyo chanzo cha tatizo, hebu ingiza unatembea na mtu mwingine.

Matatizo ya ndoa humalizwa na wanandoa!
 
nashukuru umenisaidia na nashuukuru kwa ushauri wako best kwani matatizo ya ndoa huwa humalizwa na wanandoa wenyewe na sio mtu mwingine wa nje ila kama kuna ushauri mzuri kama huu unasaidia na kujenga pia ubarikiwe best
 
Reactions: IME
aliyekwambia nina mahusiano mengi ni nani naomba tafadhali usiniharibie tena ndoa yangu wakati umeshaharibu au kakutuma unishupalie kooo kama karanga mwana tafadhali nisijekukaangaa bure mzimamzima sina uhusiano wowote na mtu humu mjengoni mm ni mke wamtu na naheshimu ndoa yangu koma mwana naona unanitafuta niongee na huwa sipendi kuongea na watoto wadogo mnaonyonya hasa wewe ntakutandika mikwaju ukija home ole wako ukatize mita ile nitakutwanga naona unanivunjia heshima
Nishajitoa kwenye SACCOS zenu mapemaaaaaaaaaaaaa, na maradhi haya nani awe SACCOS, kwanza nasikia wewe ladyfurahia una mahusiano meeengi. Kwanza Mentor aatakuwa wa kushindanisha?heri hata angekluwa Erickb52 sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…