Jamani mwenye link ya Ajira za Ualimu anijuze

Jamani mwenye link ya Ajira za Ualimu anijuze

Nswima John Edward

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
612
Reaction score
312
Ndugu zangu, kwanza nakiri kabisa kuwa pengine hili siyo jukwaa sahihi la kuongelea elimu. Lakini nisaidieni, kama ajira za elimu zipo kwenye mtandao, naombeni link!!!
 
Nimefurahi sana kukutana na message from ndugu yangu NSWIMA, sisi wote tulikuwa member pale MWUCE.Information ambazo ninazo ni kwamba wahusika wa hilo zoezi la kupanga hizo post ajira mpya ualimu wapo Morogoro as a pannel na wameshaanza kupanga walimu watakaoenda kufundisha P/school. Kwa hiyo ishu yetu ipo njiani na muda si mrefu tutapata majibu ya swali lako.
Hata mimi nazisubiria kwa hamu kubwa hizo ajira mpya za ualimu.
 
Furahi kupata ajira ila ujipange nawe uje kuajiri usije kaa mpaka mvi zikutoke ukifanya kazi za watu...ushauri!
Usijilaumu kuzaliwa kuwa masikini ila angalia usije jilaumu utakapokufa maskini...nukuhu!
 
Back
Top Bottom