Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,211
- 42,073
Alaf usije ukadhani kumpa hiyo ndio solution!
Pengine jiangalie wewe mwenyewe upya, ni vizuri umegundua ana kuogopa, pengine hata kama una kasoro fulan( mfano swala la usafi) ana hofia kukwambia.
Jaribu kuchunguza
Pengine jiangalie wewe mwenyewe upya, ni vizuri umegundua ana kuogopa, pengine hata kama una kasoro fulan( mfano swala la usafi) ana hofia kukwambia.
Jaribu kuchunguza
kafutu kutoa tigo si utumwa ni maamuzi na makubaliano tuu................
Last edited by a moderator: