Every Network in Tanzania ni upuuzi mtupu kama hao Voda mie binafsi nlikua nawaaminia sana kumbe hawana tofauti na wale wengine yani ni ujinga mtupu halafu mbaya zaidi bado wanaadvertise mtu aingie M-pawa sijui nini ni upuuzi mtupu...poleni mlio na vijihela huko kwani nami nimeipata joto ya jiwe kuna jamaa alikua ananitumia kisenti cha kunipa kiburi mtaani si kimerudi kwake kisa mizinguo ya Vodaa upuuzi mtupu!!!